Letra de Himno de kenia

Himnos De Países

Letra de Himno de kenia de Himnos De Países
Busca letras de canciones, artistas y radios de diferentes paises y ciudades.

Letra de HIMNO DE KENIA de HIMNOS DE PAíSES.

( Himnos De Países )

Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na undugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi.

Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya Kenya
Tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda

Natujenge taifa letu
Ee, ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono
Pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani
Video de Himno de kenia

Escuchar "Himno de kenia" online

Ver el Top 20 de las letras de canciones de los artistas más buscados en general.

Top 20 de los artistas más buscados en US